Chombezo : Utamu Wa Shemeji Flora Sehemu YaTatu (3)
Basi hatimaye kukaweza kupambazuka kabisa Japhet akajiinua kitandani na kuchukua mswaki wake akaupaka dawa ya meno na kutoka humo chumbani kwake taratibu hadi ukumbini ambapo akavaa Sendozi zake miguuni akachukua kopo na kujaza maji kwa ajili ya kunawia uso halafu akatoka nje kabisa uwani ambapo huko aliweza kumuona Rozi akiwa anaosha vyombo kwenye karo maalumu la kuoshea vyombo. Macho yao yalipokutana wote wawili wakajikuta wanatabasamu. "Duuh huyu binti anakumbuka Dudu langu lilivyotuna nini pale mwanzo?" Japhet alijiuliza.
Basi akaamua kupuuzia hisia hizo na kuendelea kupiga mswaki huku na Rozi naye akiendelea na kazi yake ya kuosha vyombo na muda mwingine alikuwa anamuangalia Japhet kwa macho ya chinichini. "Mmh lakini huyu kaka jamani amebarikiwa jamani, vile tu nimeliona Dude lake nimeliona likiwa ndani ya bukta je nikiliona lenyewe sijui itakuaje" Rozi alijisemea huku akitabasamu.
Japhet naye baada ya kumaliza kupiga mswaki na kunawa uso wake akarudi zake ndani lakini wakati amefika ukumbini akaweza kukutana na Shemeji yake Flora akiwa na yeye ndio anatokea chumbani kwake na mswaki wake mkononi na vazi lake lilelile la kanga moja mwilini mwake. "Hee kumbe Shem wangu umeshaamka tayari?" Flora alimuuliza Japhet. "Ndio Shemeji nimeamka muda sio mrefu sana nilikuwa huko napiga mswaki" alisema Japhet.
"Basi poa Shem wangu ngoja nikapige mswaki pamoja na kuoga halafu nije nipike chai" alisema Flora huku akielekea uwani kumsalimia Rozi. "Poa Shemeji mimi kwanza nipo huku chumbani" alisema Japhet huku akifungua mlango wa chumbani kwake na kuingia ndani. Baada ya kufika chumbani akaenda kuuweka mswaki mezani halafu akajitupa kitandani na kuanza kutafakari kwanini 'Gobole' lake leo limemsumbua sana kwa kudinda.
Akagundua ni muda mrefu sana umepita tangu alivyofanya mapenzi kwa Mara ya mwisho huko kijijini kwao mkoani Dodoma na msichana mmoja aliyekutana naye kwenye ngoma za jadi na halafu akamtongoza na kufanya naye mapenzi baada ya hapo kila mmoja akashika na hamsini zake kwani awakuwa na makubaliano ya kuwa wapenzi wa kudumu hiyo ilikuwa ni miezi mitatu iliyopita. "Daah kumbe ndio maana huyu jamaa yangu amekasirika muda mrefu sijampa chakula chake" Japhet alijisemea huku akicheka kwa sauti ya chini. Sasa mawazo yake yote akayahamishia kwa Rozi. "Huyu binti sikubali lazima nitamtomba tu" alijiapiza hivyo kijana Japhet ndani ya moyo wake.
Muda wa chai ulipokuwa umefika Japhet alikuja kushtuliwa chumbani kwake na Shemeji yake Flora na wote wakaweza kujumuika mezani kwa ajili ya kupata kifungua kinywa. Mezani alikuwa Japhet na Shemeji yake Flora pamoja na Rozi aliyekuwa anamalizia kupaka Blue band kwenye vipande vya mikate basi waliendelea kunywa chai hiyo huku wakipiga story mbili tatu za kunogesha Breakfast yao Flora ndie alikuwa muongeaji sana huku Japhet akichangia maongezi hayo sambamba na Rozi aliyekuwa muda wote anacheka tu. Baada ya kumaliza kunywa chai Rozi akavikusanya vyombo vyote mezani na kuviondoa akavipeleka uwani kwenda kuviosha.
Huku nyuma alibakia Japhet na Shemeji yake Flora wakiendelea kuongea "Shemeji naomba uwe makini na wasichana wa hapa mtaani kwetu, kwani awajutulia watakuletea magonjwa" Flora alisema akimwambia maneno hayo Japhet. "Kwanini unaniambia hivyo Shemeji? mimi mbona tangu nimekuja hapa sina mazoea nao kabisa" alisema Japhet. "Hapana Shem wangu sijasema kama una mazoea nao, ila nimekuambia tu kukutaadharisha au nimekosea?" Flora alimuuliza Japhet huku akimlegezea macho yake kimtindo. "Wala aujakosea Shemeji, nashukuru kwa kuniambia hivyo" alisema Japhet huku akimtafakari Shemeji yake huyo kwanini amemuambia hivyo na wakati awajawahi kabisa kuongelea mambo hayo.
Baada ya hapo Flora akaingia chumbani kwake na kuvaa nguo zake nzuri zilizompendeza na kumfanya aonekane mrembo zaidi halafu akamuaga Japhet kuwa anaenda kwenye Saloon yake ya kike aliyokuwa anaimiliki mtaa wa tatu kutoka hapo nyumbani walipokuwa wanaishi maeneo ya Ukonga Banana. "Sasa Shem wangu tutaonana baadae kidogo" alisema Flora huku akiwa anatabasamu. "Poa Shemeji mimi nipo hapa naangalia TV" alisema Japhet.
"Basi sawa ukijisikia kuchoka na huku kukaa ndani mwambie Rozi akulete kule saloon uje tupige story" alisema Flora.
INAENDELEA
No comments