Simulizi : Singidani Sehemu Ya Kumi naTano (15) Mwishoo
Laura akanyanyuka na kwenda ndani, baadaye aliporejea alikuwa na karatasi yenye namba ya simu, akampa mumewe. Chris palepale akampigia...
Laura akanyanyuka na kwenda ndani, baadaye aliporejea alikuwa na karatasi yenye namba ya simu, akampa mumewe. Chris palepale akampigia...
Usiku, Chris ndiye aliyempeleka mzee Ngeleja uwanja wa ndege kwa safari ya kurudi nyumbani kwake Mwanza. Ilikuwa furaha kubwa sana kwa...
CHRIS alichanganyikiwa sana, alimwangalia baba yake akiwa haamini kabisa kama tayari alikuwa ameshajua kila kinachoendelea. Alihisi ki...