Chombezo : Kivuruge Wa Tandale Sehemu Ya Kumi Na Sita(16)
Sikuamini macho yangu, lilikuwa ni gari la kifahari sana, Jeep Grand Cherokee la rangi ya fedha, likiwa na vioo vyenye ‘tinted’ nzito, akanionesha ishara kwamba nizunguke upande wa pili, akaingia kwenye usukani na kukaa, na mimi nikaingia na kukaa.
Kabla hajawasha gari alitazama huku na kule, alipohakikisha hakuna aliyekuwa akitutazama kutokea upande wa mbele maana pembeni kulikuwa na vioo vya ‘tinted’, alijisogeza kidogo pale kwenye siti aliyokuwa amekaa, akanibusu, tena mdomoni! Nikashtuka kama nimepigwa na shoti ya umeme.
“Umenifurahisha sana jinsi ulivyoonesha adabu mbele ya wafanyakazi wangu, nilijua utaleta mambo yako ya ajabu,” alisema huku tabasamu pana likiwa limechanua kwenye uso wake.
“Haya nambie, si umeshaniona? Roho yako imeridhika?” swali lake ni kama lilinizindua kutoka kwenye dimbwi la hisia tamu, nikaishia kujichekesha huku nikishindwa kabisa kuzuia tamaa za fisi zilizokuwa zimenijaa.
Akanivutia tena kwake na safari hii, hakunibusu tu, bali tuligusanisha ndimi zetu, nikawa ni kama nimepigwa na shoti ya umeme.
Sapraizi aliyonifanyia Ruqaiya ilinifanya niishiwe nguvu kabisa, nikawa kama nimemwagiwa maji ya baridi. Aliponiachia, hakusema kitu bali harakaharaka aliwasha gari na kulitoa kwenye maegesho, muda mfupi baadaye tukawa tayari tumeshaingia barabarani.
Akili za Ruqaiya ni kama hazikuwa sawa maana hata uendeshaji wake wa gari, ulikuwa wa fujo sana kama anayewahi kitu cha muhimu sana. Nilichoshangaa ni kwamba alikuwa na ‘control’ ya hali ya juu kwenye gari maana alikuwa akipita kwenye sehemu nyingine ambazo dereva kama siyo mzoefu anaweza kusababisha ajali.
Safari yetu iliishia nje ya hoteli moja ya kifahari iliyopo jirani kabisa na Soko la Kisutu. Aliingiza gari kwenye maegesho kisha akanigeukia na kunitazama. Safari hii hakuwa Ruqaiya yule anayependa kuchekacheka tena, alikuwa ‘serious’ kwelikweli.
“Inabidi tupitie mara moja hapa hotelini! Unatakiwa kusimama kama mwanaume,” aliniambia, nikawa bado sijamuelewa anamaanisha nini lakini ili kumuonesha kwamba tupo pamoja, nilitingisha kichwa.
“Nenda mapokezi kachukue chumba halafu utaniambia, siwezi kushuka kwenye gari maana naweza kukutana na watu wanaofahamiana na mume wangu,” aliniambia huku akinikabidhi noti kama nane hivi za shilingi elfu kumikumi.
Nimezoea kupita tu nje ya hoteli hiyo lakini sijawahi kuingia ndani, siku hiyo ndiyo ikawa mara yangu ya kwanza. Basi nilijikaza kiume kama Ruqaiya alivyoniambia, nikaenda mpaka mapokezi, nikaulizia bei ya chumba.
Kiwango nilichotajiwa kilinishangaza sana lakini kwa kuwa tayari nilikuwa nimekabidhiwa mzigo na Ruqaiya, nililipa, mkononi nikabaki na kama shilingi elfu kumi hivi.
Kiukweli, licha ya ujanjaujanja wangu, sikuwahi kulipa zaidi ya shilingi elfu kumi na tano kwa ajili ya gesti lakini siku hiyo nilikuwa nimepatikana, shilingi elfu sabini taslimu!
“Lazima nimuoneshe thamani ya fedha alizotoa,” nilijisemea moyoni wakati mhudumu akinipeleka kunionesha chumba. Kiukweli kilikuwa ni chumba kizuri mno, chenye kila kitu ndani, nikaelewa kwa nini bei yake ilikuwa kubwa kiasi kile.
Tulipoingia ndani tu, nilimwambia mhudumu kwamba kuna mgeni wangu yupo chini akiingia amuelekeze, akanitazama kwa tabasamu na kutingisha kichwa. Nilijifungia mlango kwa ndani huku nikiendelea kuyasoma mandhari ay chumba kile kizuri kilichokuwa ghorofa ya sita.
Nilimpigia simu Ruqaiya na kumuelekeza mahali nilipo, nikavua fulana niliyokuwa nimeivaa na kuanza kujitazama kifua changu kipana cha mazoezi huku nikijipanga jinsi ya kumkabili Ruqaiya ambaye alionesha kuwa na ‘hasira’ kali.
Muda mfupi baadaye, mlango ulifunguliwa, Ruqaiya akaingia na kugeuka nyuma, akatazama huku na kule na alipojiridhisha kwamba hakuna aliyekuwa akimfuatilia, alifunga mlango kwa funguo, akasogea pembeni na kuweka mkoba wake pamoja na simu, akanitazama.
“Kumbe ukiwa ‘siriasi’ unakuwa mzuri kiasi hicho,” nilimtania, akaachia tabasamu hafifu na kurembua macho yake mazuri huku akiendelea kunitazama. Nilimsogelea nikiwa kifua wazi, akawa ananitazama akiwa ni kama haamini, mkono wake mmoja akanishika kifuani.
“Kumbe huwa unafanya mazoezi,” alisema kwa sauti ya chini huku akinipapasa kifua changu, na mimi sikutaka kubaki nyuma. Nilimshika vizuri kiuno chake, akashtuka kidogo na kunitazama usoni, na mimi nikamtazama. Muda mfupi baadaye, tulikuwa tumegusanisha ndimi zetu kama wafanyavyo njiwa.
Mwili wa Ruqaiya ulikuwa laini mno, kila sehemu niliyomgusa alikuwa mlaini kama mtoto mdogo, nikameza mate kwa uchu wa fisi. Alipiga magoti mbele yangu, akaufungua mkanda wa suruali yangu huku akinitazama kwa macho yaliyokuwa ‘yakizungumza’, akaingiza mkono na kumtoa ‘Ashrafu’ kwa upole, nikamuona akishtuka, nadhani hakutegemea na alichokutana nacho.
“Kwani wewe una miaka mingapi?” aliniuliza kwa sauti laini huku akishika kipaza sauti.
“Acha maneno weka muziki!” nilimjibu, akatabasamu na kunitazama tena kwa macho yake mazuri, safari hii akiwa anarembua kuliko mwanzo, akaanza kuimba. Aliimba nyimbo za aina yote, alianza kwa muziki wa taratibu, baadaye akaanza kuimba ‘kwaito’, mwisho akawa anarap kwa kufokafoka kama wanavyofanya wasanii wa Hip Hop wa Marekani.
Sikutaka kubaki nyuma, nilimkatisha kuimba na kumshusha jukwaani, akawa ni kama hataki, nikatumia nguvu. Licha ya mwili wake mkubwa, nilimuinua na kumlaza juu ya ‘uwanja’, kwa ufundi mkubwa nililichomoa ‘kufuli’ lake tu, nyingine zote nikaziacha vilevile kama alivyoingia, akanitazama kwa macho ambayo sasa nusu yalikuwa yamefumbuliwa na nusu yamefumbwa.
Nilishajiapiza kwamba lazima nimfurahishe na katika hali ambayo hakuitegemea, moja kwa moja nilikivamia chungu na kuanza kulamba asali kwa namna iliyomfanya apige yowe na kuruka kidogo, nikalazimika kutumia nguvu kumtuliza.
Namna ya ulambaji wangu wa asali ilimfanya ashindwe kujizuia kuendelea kutoa ukelele ambao kwangu mimi ulikuwa ni kama wimbo mzuri niupendao, kazi ikawa ni kwenye ulimi wangu na chungu chake cha asali!
Niliilamba asali kwa zaidi ya dakika ishirini, Ruqaiya akanena kwa lugha zote mpaka ikafika mahali akawa tena haeleweki kama anazungumza au anaimba, kama analaumu au analalamika, ikawa ni tafrani.
Baada ya kutosheka na asali, Ruqaiwa hoi bin taaban nilianza kumsaula, kimoja baada ya kingine, muda mfupi baadaye tukawa saresare maua.
Rangi na ulaini wa ngozi yake, ukichanganya na jinsi alivyokuwa ameumbika, sehemu ya nyuma kukiwa na ‘mlima’ wa nguvu, kiuno cha wastani kilichonakshiwa kwa ‘cheni’ ya rangi ya dhahabu huku kifuani akiwa amebarikiwa maembe dodo mawili makubwa yaliyojaa vizuri, ni mambo yaliyomfanya ‘Ashrafu’ azidi kuwa ngangari kinoma.
Basi nilimuweka ‘mkao wa kula’ na kipyenga kikapulizwa kuashiria kuanza kwa mechi isiyo na refa wala jezi, Ruqaiya akanipokea kwa bashasha na gemu likaanza.
Tofauti kabisa na nilivyotegemea siku ya kwanza nilipomuona Ruqaiya ambapo nilidhani huenda ni mzoefu wa mambo ya sanaa za kikubwa kwa jinsi mwonekano wake ulivyokuwa, hali niliyokutana nayo ilikuwa tofauti kabisa.
Hakuwa mzoefu wa purukushani na hata nilipotaka kwenda naye ‘kihuni’, aliniomba sana tucheze mpira wa kistaarabu kwa sababu bado hakuwa na ‘experience’, jambo ambalo hata mimi nililigundua waziwazi.
Kwa lugha nyepesi, Ruqaiya alikuwa amejitunza sana kiasi kwamba ungeweza kudhani upo uwanjani na binti ambaye ndiyo kwanza ameingia kwenye ulimwengu wa kikubwa.
Kwangu mimi ilikuwa ni bahati ya aina yake kwa sababu nikiri wazi kwamba tangu nianze ‘utundu’, sikuwahi kukutana na mwanamke wa aina yake.
Nilienda naye sawa kwa namna ambayo mwenyewe aliitaka, hakuchukua muda akawa ameshakwea na kufika juu kabisa ya mnazi, akaangua madafu mawili na kuyapasua mfululizo, akawa anatetemeka kama amepigwa na shoti ya umeme au ametolewa kwenye pipa lililojaa barafu.
Nilimuacha apumzike kidogo, baadaye nikambeba mpaka bafuni na kuanza kumuogesha, mambo ambayo kwake yalionekana kuwa mageni kabisa, muda wote akawa anaweweseka kwa kulitaja jina langu. Kama nilivyojiapiza, nilifanya kila kitu kumfurahisha na pengine nilikuwa na juhudi kuliko wakati mwingine wowote.
Aliagiza chakula, kikaja ambapo tulikula kwa mahaba makubwa mno, yale masihara aliyokuwa akiniletea mwanzo yakawa yameisha kabisa, akawa anafanya kila kitu kwa kuninyenyekea utafikiri mimi ndiye mumewe. Baada ya kumaliza kula, tulirudi tena uwanjani na muda mfupi baadaye, kipyenga cha kuashiria kuanza kwa mpambano kilipulizwa.
ITAENDELEA
No comments