Chombezo : Kivuruge Wa Tandale Sehemu Ya Kumi (10)
Nilifuata maelekezo yake, nikaingia kwenye chumba cha watoto wake! Kimaisha mama mwenye nyumba na mumewe walikuwa wamejipanga sana kwa sababu hata hicho chumba cha watoto chenyewe kilikuwa si cha masihara, kulikuwa na kitanda kikubwa cha futi sita kwa sita na kabati la nguo pamoja na meza ya kujisomea.
Hiyo ilikuwa mara yangu ya kwanza kuingia kwenye chumba hicho, nikawa napepesa macho huku na kule nikishangaa mandhari badala ya kuangalia kilichonipeleka.
“Vipi umeona,” nilishtuka baada ya kusikia sauti ya mama mwenye nyumba, nyumba yangu. Kumbe alikuwa ameamua kunifuata kule chumbani, nilipogeuka, macho yangu na yake yaligongana, safari hii sikuwa na uwezo wa kumkwepa tena, tukawa tunatazama.
Licha ya umri wake kuwa mkubwa, mama mwenye nyumba alikuwa akipenda sana mambo ya ujana maana nyusi zake alikuwa amezitinda na kupaka wanja na kwa mbali alikuwa amepaka lipstiki fulani hivi kama zile wanazopenda wadada wengi wa mjini.
Muda mfupi nilipozungumza naye alipokuja kunigongea kwa mara ya kwanza, wala hakuwa amejipamba hivyo usoni, nikajikuta nimevutiwa kuendelea kumtazama.
“Kwani ulikuwa unamfanya nini yule mgeni wako? Mbona alikuwa anapiga sana kelele?” aliniuliza swali lililonifanya nijisikie sana aibu, nikiwa najiuliza nimjibu nini, nilishtukia akipeleka mkono wake ‘ikulu’, akamshika Ashrafu wangu na kushtuka kidogo, hata sijui nini kilimshtua.
Katika hali ambayo sikuitegemea, nilishtuka akipeleka kwenye kifundo cha ile khanga nyepesi aliyokuwa amejifunga, sijui alifanya nini bwana, ikadondoka chini nzimanzima, macho yangu yakatua kwenye kiota cha huba cha mama mwenye nyumba, japokuwa nilikuwa nimetoka kukimbia mbio ndefu, kitendo kile kilinifanya niwe kama mwendawazimu.
“Njoo hu...ku na...mi...mi alisema kwa sauti ya kukatakata, akanivuta kwa nguvu, tukadondokea kwenye kile kitanda cha watoto wake.
“Na mimi nataka!”
“Lakini... laki...ni,” nilijaribu kuleta upinzani kidogo lakini hata sijui nini kilitokea, nilishtukia tu tayari tupo ndani ya dimbwi la huba lenye kina kirefu, ili nisizame nililazimika kuanza kupiga mbizi, huwezi kuamini mama mwenye nyumba alianza kutoa miguno ya hapa na pale akionesha kuburudika mno.
Haikuwa hiyari yangu kufanya yale niliyokuwa nayafanya kwa sababu nilikuwa najua madhara ya kutoka na mke wa mtu lakini kama hiyo haitoshi, huyo hakuwa tu mke wa mtu bali kiumri pia alikuwa amenizidi sana, kiheshima alikuwa ni mama yangu mdogo kabisaa!
Yote tisa, kumi ni kwamba alikuwa ni mke wa mzee niliyekuwa namheshimu sana, ambaye ndiye aliyekuwa baba mwenye nyumba wangu. Sikuwahi kudhani ipo siku naweza kumkosea adabu mzee huyo kwa kumfanyia mchezo kama huo mkewe, lakini ndiyo hivyo, tayari nilikuwa kwenye mtego hatari.
Kiukweli licha ya ‘Ashrafu’ kuwa katika uimara wake, mnara ukisoma 4G, sikuwa nimerelax kwa kile kilichokuwa kikiendelea, nikawa najihisi kuwa na hatia kubwa ndani ya moyo wangu.
Licha ya hayo yote, mama mwenye nyumba yeye wala hakuwa na habari, alikuwa akiendelea kujisevia kwa nguvu zake zote huku miguno ya hapa na pale ikizidi kuongezeka kadiri muda ulivyokuwa ukizidi kuongezeka.
‘Uchawi’ uliojificha kwenye kamchezo ka sanaa ya kikubwa, mnapocheza ligwaride halafu mwenzako akawa anatoa migumo, basi anakuwa ni kama anakuchochea!
Hivyo ndivyo ilivyotokea kwa mama mwenye nyumba, ukelele wake ulianza kubadilika na kuwa wimbo mtamu masikioni mwangu, nikajikuta na mimi nikianza kuvutiwa na mchezo japokuwa awali sikuwa nimeupenda.
Basi ikawa patashika nguo kuchanika, usingeweza kuamini kwamba mimi ndiye ambaye muda mfupi uliopita nilikuwa nikimtoa chozi la utamu Madam Bella aliyekuwa amepitiwa na usingizi, akikoroma chumbani kwangu baada ya shughuli pevu.
Kutokana na uchu aliokuwa nao mama mwenye nyumba, niliona kama tukiendelea anaweza kunimaliza nguvu zote halafu nikashindwa kumalizana na Madam Bella ambaye alikuwa ameniahidi kwamba siku hiyo atashinda na mimi, tupike na kupakua pamoja.
Niliamua kutumia silaha zangu za maangamizi, ni hapo ndipo nilipoukumbuka mtindo wa Kenge Mzee niliokuwa napenda sana kuutumia kwenye mechi ngumu kama hizo ili kupata ushindi wa haraka kwa sababu ilionesha mwenzangu alishanogewa na sasa alichokuwa akikifanya ni kuizungusha nyonga yake kama anayecheza ngoma ya Kimakonde huku akiendelea kutoa miguno ya hapa na pale, macho yake akiwa ameyafumba kabisa.
Nilimkatisha mama mwenye nyumba kile alichokuwa akikifanya, akawa mgumu kidogo kunielewa nilichokuwa nataka kukifanya, alihisi nataka kumharibia alichokuwa anakifanya, akaning’ang’ania kwa nguvu huku akilalama. Ilibidi nitumie nguvu, nikamuelekeza kwa vitendo nilichokuwa nataka akifanye, kweli akafanya, nikajiweka sawa na kuanza kutumia mtindo huo wa Kenge Mzee.
Miguno aliyoanza kuitoa safari hii ilikuwa ya tofauti na ya mwanzo maana alikuwa ni kama anataka kufumbua mdomo na muda huohuo anataka kuufumba, akawa ni kama anataka kupiga chafya na kuzungumza kwa wakati mmoja, kwa hiyo kilichokuwa kikisikika ilikuwa ni kelele za kama mtu anayetapatapa kwenye maji akitaka kukata roho.
Kiukweli hata mimi mwenyewe nilijua kwamba nimemuweza kwani alipaparika kwa dakika chache na muda mfupi baadaye akatangaza kuiona theluji iliyopo juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro, akapiga yowe kubwa kisha akawa anapaparika kama kuku aliyekatwa kichwa, akadondokea pembeni na kutulia kimya. Kutokana na mazingira hayo, nilifanya hima kuchomoka, nikapitia kwanza bafuni ambapo nilijiwagia maji kwa wingi maana nilikuwa nimelowa kwa jasho kama mbeba magunia wa sokoni Kariakoo.
Nikiwa bafuni, nilisikia mlango wa chumba changu ukifunguliwa, nikashtuka na kuchungulia kupitia uwazi uliopo dirishani, nikagundua kwamba alikuwa ni Madam Bella. Alikuwa amejifunga taulo langu, akatoka huku akipiga miayo na kuingia kwenye choo kingine kilichokuwa tupu.
Harakaharaka nilitoka na kurudi ndani, nikachukua taulo lingine lililokuwa kabatini, nikajifuta na kubadilisha nguo, zile nilizotoka nazo kwa mama mwenye nyumba nikaziweka kwenye tenga la nguo chafu, nikajipulizia manukato kwa mbali na kujilaza kwenye sofa huku feni ikinipepea kwa nguvu.
“Mume wangu, ulikuwa wapi,” Madam Bella aliniuliza baada ya kurejea kutoka maliwato na kunikuta nikiwa nimejilaza pale sebuleni, nikitazama runinga.
“Nilienda kununua umeme mke wangu,” nilimjibu na kumbusu mdomoni kwa lengo la kumpoteza maboya, naye akanibusu na kuniambia kwamba eti nimemvuruga sana mpaka anahisi mwili wote unauma utafikiri alikuwa akibeba mawe.
Tulicheka kwa pamoja, akaniuliza swali ambalo lilinishtua sana, aliniuliza kwamba niliponunua umeme nimempaje mama mwenye nyumba? Akili za haraka zikanituma kwamba lazima kuna kitu atakuwa amekishtukia lakini kwa kuwa nilikuwa fundi wa kucheza na akili za wanawake, nilijua namna ya ‘kumtengeneza’.
“Nimemtumia kwenye meseji maana nimefika hapo nagonga mlango naona kimya, nahisi anaweza kuwa ametoka.”
“Mh! Mama mwenye nyumba ndiyo yule tuliyemkuta akiwa anafua hapa?”
“Ndiyo huyohuyo!” nilimjibu Madam Bella huku nikiwa makini macho yangu na yake yasikutane kwani angeweza kugundua kitu kama angenitazama ndani ya macho yangu.
“Mbona mtu mzima lakini hajiheshimu?”
“Kwa nini unasema hivyo?”
“Yaani alikuwa na mumewe wanafanya yao, sasa anavyopiga kelele utasema kuna mtu anachinjwa huko ndani,” alisema Madam Bella huku akicheka, na mimi nikacheka sana huku nikiwa bado nakwepesha macho yangu.
Alichokuwa akikisema kilinifanya niogope sana ndani ya moyo wangu, nikawa nafikiria kama kweli alisikia, maana yake lazima kuna watu wengine wamesikia pia lakini baba mwenye nyumba hakuwepo nyumbani muda huo na kulikuwa na uwezekano kwamba atakuwa amesafiri maana alikuwa na kawaida ya kusafiri kwenda Mtwara alikokuwa akimiliki mashamba makubwa ya korosho.
Basi nilimzugazuga pale tukabadilisha mada, tukawa tunazungumza ya kwetu ambapo aliniambia kwamba eti hajawahi kukutana na mwanaume kama mimi maishani mwake, akaniambia eti anataka nimuoe niwe mumewe ili tuishi pamoja!
“Njaa inaniuma mke wangu, nipikie kwanza mumeo nile,” nilimwambia maana kiukweli sikuwa na malengo yoyote ya kuwa naye.
Basi alinibusu na kuanza kuandaa chakula, akiwa ndani ya khanga moja tu! Kiukweli Madam Bella alikuwa kifaa cha nguvu haswaa, nikawa nayaburudisha macho yangu kwa kumfuatilia kila alipokuwa akiinuka na kutembea, akichukua kifaa hiki na kile kwa ajili ya mapishi.
Naye ni kama alijua kwamba namtazama maana alikuwa akijitingisha kwa makusudi, sijui nini kilitokea bwana, Ashrafu akachachamaa tena baada ya kuchoshwa na visa vya Madam Bella, japokuwa tayari alishabandika mboga kwenye jiko la gesi na alikuwa akikaribia kuanza kuziunga, nilimfuata na kumshika mkono, nikamkumbatia kimahaba na haukupita muda, tukawa tumegusanisha ndimi zetu, tukielea kwenye ulimwengu wa huba.
Hakutaka nipate tabu, alinipeleka mpaka kwenye uwanja wa fundi seremala, akapitisha mkono kwa hivi, ile khanga yake ikadondoka, akahamia kwangu na kuzitoa zote, kwa upole akamshika ‘Ashrafu’ na kumuonesha njia ya kupita.
“Ashrafu! Ashrafu! Hodi wenyewe...” mlango uligongwa, nikashtuka sana baada ya kuitambua sauti ya aliyekuwa akipiga hodi kuwa ni Nancy.
ITAENDELEA
No comments