Chombezo : Kivuruge Wa Tandale Sehemu Ya Tano (5)
“Nancy!”
“Mh! Umewezaje kulikumbuka jina langu haraka hivyo?”
“Aa! Kawaida tu, unajua kitu au mtu muhimu kwenye maisha yako huwezi kumsahau kirahisi,” nilijikakamua kiume na kujaribu kuyatawala mazungumzo.
“Karibu tupate vinywaji,” alisema msichana huyo huku akinionesha sehemu ya kukaa, nikashindwa kukataa, nikajisogeza na kukaa naye meza moja, tukawa tunatazamana. Si kawaida yangu kumuonea aibu mwanamke, hata awe mzuri kiasi gani lakini siku hiyo nilijikuta nikipoteza kabisa ujasiri mbele ya Nancy.
Kulikuwa na mambo mengi ambayo yalifanya nipoteze ujasiri, kwanza siku hiyo ndiyo ilikuwa ya kwanza kukutana na msichana huyo mrembo, muda ule nilipotoka kwenda kula ‘lunch’.
Hilo halikuwa tatizo kwangu kwa sababu nilikuwa na uzoefu wa kukutana na warembo kadhaa huko nyuma, ambao muda huohuo tuliokutana niliwafanya wanizoee utafikiri tunafahamiana miaka kibao nyuma na hivyo kutimiza malengo yangu kwa urahisi.
Tatizo lilikuwa mazingira niliyokutana na Nancy na alichonifanyia. Kwanza alikataa kabisa kunipa namba zake za simu licha ya kujitahidi kumchombeza kwa maneno ya hapa na pale lakini alinichomolea, tena kwa maneno ambayo niliyaona kama ni dharau kubwa kwangu! Lakini kama hiyo haitoshi, aliamua kunitukana kiutu uzima kwa kulipia bili yangu ya chakula bila kuniambia chochote, yaani ni kama aliyeamua kusema ‘utanipa nini maskini wewe!’
Lakini kingine kilichofanya nipoteze ujasiri, ni kwamba nilikuwa nimetoka matukio ambayo nilihisi kila nitakayetazamana naye usoni, anaweza kugundua kwamba nimetoka kufanya nini.
Kitendo cha kuwavuruga Madam Bella na Salma, tena ndani ya muda huohuo, wakipishana dakika chache tu, kilinifanya nijihisi kuwa na hatia ndani ya moyo wangu, nikawa nahisi nikitazamana sana na nancy anaweza kuyaona niliyotoka kuyafanya na pengine nikapoteza kabisa nafasi hata ya kukaa naye mezani nakunywa soda.
“Nambie, mbona sasa hivi huna porojo kama muda ule kule kantini?” aliniuliza huku akionesha kuchangamka sana, akavuta juisi kwa kutumia mrija aliokuwa ameushika kisistaduu na kumeza funda moja, akawa bado anaendelea kuchekacheka mwenyewe kwa furaha.
“Aliyekwambia kwamba mimi naitwa Kivuruge ni nani?”
“Mh! Kwani ukiwa na tabia mbaya unajificha? Kila mtu anakufahamu na habari zako zinasambaa kwa kasi.”
“Tabia mbaya kivipi? Na hayo yote yanakujaje?” nilisema huku nikijitahidi kuuvaa uso wa usiriasi. Nancy akanitazama, alipoona nimeanda kubadilika usoni alipunguza masihara.
“Mhudumu, hebu njoo umsikilize mgeni wangu,” alisema Nancy, nikawa nageuka na kutazama huku na kule. Kwa ufupi ni kwamba utulivu uliniisha kabisa ndani ya motyo wangu kwa sababu ukiachilia ukweli kwamba pale tulipokaa watu wengi walikuwa wakinijua, ilikuwa ni jirani pia na ofisini kwetu.
Kwa sababu nilifanya kuondoka kijanja, nilijua Salma au Madam Bella, yeyote kati yao atakayekuwa wa kwanza kutoka, lazima ataniona nikiwa nimekaa na Nancy.
“Hamna bana mi nakutania, yule dada wa pale kantini ndiyo aliyeniambia eti wewe wanakuita Kivuruge kwa tabia yako ya kupenda wanawake.”
“Mimi! Jamani, mbona wau wanapenda sana kunisingizia?” nilisema huku nikivaa sura ya upole ambayo ni miongoni mwa silaha nyingine ambazo hunisaidia sana ninapokuwa kwenye mawindo yangu.
“Unataka kusema anakusingizia? Mbona mimi kuniona leo tu umenitongoza?” alisema Nancy na kuzidi kunibana. Sikukubali kushindwa, nilitumia mwanya huo kujitetea lakini pia kuendelea kujitengenezea mazingira.
Kitendo cha Nancy kujileta mwenyewe pale na kunichangamkia baada ya kuniona, kilikuwa ni ishara nzuri kwangu, nikajua nikiongeza juhudi kidogo tu naweza kufanikiwa kumuopoa mrembo huyo ambaye kiukweli alikuwa akiyafanya mapigo ya moyo wangu yapishane ‘steps’ kama hatua za mlevi.
“Kwani wewe unaishi wapi?” aliniuliza Nancy, nikaona nishai kumjibu kwamba naishi Tandale kwa sababu mrembo mwenyewe alionekana kutoka kwenye familia bora kisawasawa, nikazugazuga lakini kumbe tayari alikuwa anazo taarifa zangu zote.
“Si nimesikia unaishi Tandale wewe? Sasa mbona unasema unaishi Sinza?”
“Naishi kwenye mpaka wa Sinza na tandale lakini upande wa tandale,” nilikuta nimezungumza kitu ambacho hata sikuwa nimekifikiria kichwani.”
“Kwa hiyo wewe unaishi Tandale au Sinza?” nancy alizidi kunikalia kooni, huku akicheka sana. Alionekana kufurahishwa sana na ujanjaujanja wangu katika mazungumzo, ikafika mahali akawa anacheka mpaka analeta mkono kugonga na mimi, nikawa nafurahia ulaini wa viganja vya mikono yake na kajoto f’lani hivi alikokuwa nako.
“Nimefurahi sana kukufahamu Kivuruge!”
“Nimefurahi pia kukufahamu mrembo Nancy.”
“Kwani mimi mrembo?”
“Ndiyo, tena sana! Mungu amekupendelea vitu vingi sana, ‘trust me’,” nilianza kumsifia Nancy, basi akawa anacheka kwa sauti ya juu mpaka watu waliokuwepo pale pembeni yetu wakawa wanageuka na kututazama.
Halikuwa jambo dogo kukaa na msichana mrembo kama Nancy na kumfanya muda wote awe na furaha kiasi kile, wale wahudumu wa kiume nikaona wananitazama kwa macho yaliyoonesha wazi kwamba wana chuki na mimi.
“Sasa Nancy, mi naomba nikuache, kuna kazi inatakiwa nikaifanye nyumbani, si unajua tena maisha ya kigetogeto jioni ndiyo muda wa kufanya kazi za ndani,” nilimuaga kijanja, akacheka sana, mwisho akaniambia nisubiri tuondoke wote.
“Mh!” niliguna, kiukweli nilikuwa namtaka sana Nancy lakini siyo kwa muda huo, nilikuwa nimechoka vibaya sana na kama kweli angekubali kuondoka na mimi, maana yake tungejikuta wote tumeishia Tandale, kwenye nyumba ninayoishi na kwangu mimi hilo lilikuwa ni kosa sawa na kuwapita mabeki wote na kubaki mimi na kipa tu golini.
Kabla hata sijajibu chochote, Nancy alisimama na kuchukua mkoba wake wa kijanja, akaufungua na kutoa noti ya shilingi elfu kumi, akamuita mhudumu na kulipa kisha akanionesha ishara kwambe ‘twen’zetu’.
“Kwani unaishi na nani kwako?”
“Naishi mwenyewe Nancy.”
‘Huwa unatumia usafiri gani ukiwa unatoka?”
“Daladala tu, si unajua mimi mgumu,” nilisema kwa kujitutumua, akacheka sana, akaniambia siku hiyo anataka kunipa ofa ya kupanda Ubber.
“Ubber ndiyo nini?” nilimuuliza kwa sababu kiukweli sikuwa najua, akanielekeza kwamba ni teksi ambazo hazina nembo kama teksi hizi za kawaida na mteja anatumia mtandao kuiita na hata malipo yake yapo tofauti kidogo, akanielekeza kwamba huwa mteja analipa kulingana na kilometa na muda aliotumia barabarani.
Alinizidi maarifa katika hilo, tukatoka na kuelekea barabarani, muda wote nikawa nageukageuka kutazama kama hakuna mtu yeyote atakayetoka pale ofisini kwetu na kuniona. Kwa mbali nilimuona mlinzi wetu, Shija akinionesha alama ya dole kama anayesema ‘nimekukubali kaka’.
Uzuri wa Nancy ulisababisha kila tulipokuwa tunapita, midume igeuka na kumtazama, alikuwa amejaaliwa haswaa! Basi muda mfupi baadaye, tayari tulikuwa ndani ya gari dogo lenye ‘kipupwe’ ndani, akaniambia mimi ndiyo nimuelekeze dereva wapi kwa kutupeleka.
“Tandale kwa Mtogole kaka,” nilisema, yule dereva akageuka na kunitazama akiwa ni kama haamini nilichomwambia. Nadhani kwa hadhi ya mrembo niliyekuwa naye, alitegemea nimwambie tupeleke Masaki au Mbezi, sijui kwa nini sisi watu wa Tandale tunadharaulika sana.
Basi tulitoka na safari ikaanza, nikiwa nimekaa siti ya nyuma na Nancy, tukawa tunaendelea kupiga stori, safari hii akinilalia kifuani mara kwa mara na kunifanyia vituko ambavyo viliniweka katika wakati mgumu sana.
Sijui kulitokea nini, nikashtukia amenibusu, nikamgeukia nakumtazama, akawa ananitazama kwa macho yaliyobeba hisia nzito sana za mapenzi, moyoni nikawa nasema ‘hunijui vizuri wewe’.
Ni kweli nilikuwa nimechoka sana lakini kamwe nisingeweza kuacha nafasi adhimu kama ile inipite, nikiwa bado najiongeza kichwani nini cha kufanya, nilishtukia tukiwa tumegusanisha ndimi zetu, akionekana kuwa na hisia nzito sana za mapenzi.
Kila kitu kilikuwa kikitokea kwa kasi kubwa kiasi kwamba kama hunifahamu, ungeweza kudhani nimemfanyia dawa dada wa watu anipende ghafla, kichwani nikawa nafikiria kwamba tukishuka tu dukani, fasta naenda dukani kwa Mangi ‘kujibusti’ kwanza kuondoa uchovu wote kisha ndiyo nianze kudili naye.
“Tumeshafika bro!” alisema yule dereva wa Ubber, kauli yake ndiyo iliyotuzindua kutoka kwenye dimbwi la huba, kucheki pembeni, kweli tayari tulikuwa Tandale kwa Mtogole.
Tuliteremka kwenye Uber, kwa jinsi Nancy alivyokuwa mzuri, kitendo cha kuteremka tu pale kituoni, niliwaona wahuni kibao wakiacha kila walichokuwa wakikifanya na kuanza kutukodolea macho.
Waliokuwa wakicheza kamari waliacha, waliokuwa wakicheza singeli waliacha na hata waliokuwa wakipiga stori, wote walibaki wanatukodolea macho.
Shida moja ya kwetu ndiyo hiyo, yaani vijana wana njaa kiasi kwamba kila kitu kizuri kinachopita, wao wanaanza kuhesabu kama dili! Nilijua pale wanatupigia mahesabu ya kuja kutukaba na kuchukua viwalo vya kijanja alivyokuwa amepiga Nancy, simu yake, pochi pamoja na simu yangu.
Kwa kuwa nimeshaishi sana Tandale na najua namna ya kwenda sawa na wahuni, niliamua kuchukua tahadhari mapema kwa sababu kama tungekabwa na mrembo kama Nancy, ningekuwa nimejishushia mno hadhi.
Nilichokifanya nilimshika mkono Nancy, nikaongozana naye mpaka kwenye kibanda cha ‘Rasi Kimbute’, rastafari aliyekuwa akisifika kwa uhuni Tandale nzima.
“Kuna buku hapa, nipige escort mpaka magetoni naona wahuni wananitamani,” nilimwambia Rais Kimbute kwa sauti ya chini, akacheka sana mpaka pengo lake likawa linaonekana.
Basi kwa kuwa alikuwa rafiki yangu sana, mara kwa mara nikimtoa vihela vidogovidogo vya ‘fegi’, alikubali kunisindikiza, basi nikawa najitanua huku nikiwa nimemshikilia vizuri Nancy, tukawa tunapiga stori za hapa na pale na Rasi, Nancy akipata shida kubwa kuruka mifereji na mitaro ya maji machafu.
Niliukumbuka wimbo wa Rayvan, msanii wa Bongo Fleva kutoka Wasafi uitwao Kwetu, jinsi nilivyokuwa nakatiza na Nancy ‘kitaani’ ungeweza kufananisha na Rayvan na mrembo Lynn walivyokuwa wakikatisha mitaani, sema tofauti ni kwamba mimi na Nancy tulikuwa wakubwa.
Baada ya kutufikisha karibu na nyumbani, nilimpa Rasi Kimbute shilingi elfu moja kama nilivyomuahidi, akafurahi sana na kuniambia kama nitataka kuondoka, nikamshtue tena aje kunipa ulinzi!
Hayo ndiyo maisha ya kwetu, yaani ukionekana na mtu wa tofauti, anayeonekana kuwa nazo basi ujue hufiki mbali, lazima mateja wawakabe na kuwavua mpaka viatu. Tulipitia dukani kwa Mangi, nikachukua ‘busta’ na maji makubwa, tukaingia ndani ambapo ilibidi mpaka nifunge geti kubwa la nje kwa kufuli ndiyo Nancy atulie.
Mazingira ya kwetu yalionesha kumkosesha mno amani, ikawa ni zamu yangu kumtania kwamba yeye ni sistaduu maisha ya uswahilini hayawezi. Nilimtania mpaka akawa anacheka, ile hofu ikamuisha kabisa.
Japokuwa nilikuwa naishi Tandale, nyumba niliyokuwa maishi ilikuwa nzuri, yenye hadhi nzuri na usalama wa kutosha, sijisifii lakini huo ndiyo ukweli. Hata ndani nako sikuwa ‘mnyonge’, nilikuwa na kitanda cha kisasa, futi sita kwa sita, ukutani runinga ya kisasa (flat screen) na muziki mnene, sofa la kuzugia, kafriji kakiaina na kapeti manyoya.
“Mh! Kumbe kwako kuzuri hivi? Unavyoonekana kwa nje na ndani ni tofauti sana, kumbe una akili,” alisema Nancy, nikajifanya kama sijamsikia. Nilifungua ‘busta’ yangu na kuchanganya na maji kidogo kwenye glasi, nikaigida yote, Nancy akawa anachekacheka tu mwenyewe, mara ashike hiki aache, mara ashike kile, mara abadilishe ‘chaneli’ kwenye runinga, ilimradi tafrani.
Kwa jinsi nilivyokuwa nimechoka, ilibidi nikaoge kwanza, nikamuacha Nancy akiwa amekaa kwenye kochi, akisikiliza muziki. Tayari alishakuwa mwenyeji ndani ya dakika chache tu alizokaa pale ndani, nikazidi kujiona mshindi.
Dakika tatu baadaye, tayari nilikuwa nimeshajimwagia maji, kurudi ndani nikamkuta Nancy ameshasaula kila kitu alichokuwa amekivaa na kujifunga mtandio mwepesi eti kwa madai kwamba na yeye anataka kwenda kuoga. Nilijikuta nimeshtuka kama nimepigwa na shoti ya umeme! Hata sijui ni nini kilichonishtua lakini nadhani ni kwa sababu ya jinsi Nancy alivyokuwa ameumbika!
Kiukweli, Nancy alikuwa moto wa kuotea mbali. Nilisikia vinyweleo vyote vya mwili vikipigwa na kaubaridi fulani, nikameza mate kama fisi aliyeona mfupa, Nancy akawa ananitazama kwa macho kama ya mtu aliyebanwa na usingizi mzito.
Nilishindwa kuvumilia, nilimsogelea na kumvutia kwangu, akaja mzimamzima na kunikumbatia, bila kujali maji yaliyokuwa yakichuruzika mwilini mwangu kwani nilikuwa bado sijajifuta, tukagusanisha ndimi zetu, kwa ufundi mkubwa nikapitisha mikono yangu na kukikamata vizuri kiuno cha Nancy, nikamuona akiruka kama anayetaka kupaa.
Niliendelea kumshika vile huku vidole vyangu vikitembea taratibu kushuka chini, mapigo ya moyo wake yakaanza kubadilika, akawa anapumua harakaharaka kama aliyetoka kukimbia mbio za mita mia moja.
Haikuchukua muda, ule mtandio tayari ulikuwa chini na mimi taulo hata sikukumbuka limetokaje mwilini mwangu, tukawa tumesimama tukiwa ‘saresare maua’.
Niliendelea kushuka chini taratibu, nikawa navinjari kwenye mwinuko maridhawa uliokuwa chini kidogo ya kiuno chake ambao ama kwa hakika ulikuwa umejaa na kubinuka kisawasawa, akawa anapiga ukelele kwa staili ya kudekadeka, ulioleta raha ya ajabu masikioni mwangu.
Naye hakubaki nyumba, alisogeza mdomo wake sikioni mwangu, akawa ni kama anataka kuninong’oneza kitu na mimi nikatega sikio kutaka kusikia atasema nini, katika hali ambayo sikuitegemea, nikashtukia akiuingiza ulimi wake sikioni, na mimi nikaruka kama nimekanyaga kaa la moto! Si kwamba nilipanga kuruka, nilijikuta tu nimeruka, akacheka kwa kudeka na kuzidi kunipa mzuka!
Japokuwa nilikuwa najiamini kwamba naweza kuwaamsha mashetani wa mahaba wa Nancy haraka, ajabu ni kwamba yeye ndiye aliyefanikiwa kuwaamsha wa kwangu mapema zaidi.
Japokuwa nilikuwa nimeshapiga gemu mbili tofautitofauti muda mfupi uliopita, na Madam Bella na Salma kule kazini, mbwembwe za Nancy ziliufanya mnara wa mawasiliano uwe unasoma 4G mapema kabisa utafikiri sijagusa chochote kwa zaidi ya wiki nzima.
Niliamua kutumia falsafa yangu ileile, ya kutokuwa na papara kabisa mchezoni. Unajua wanaume wengi wanajikuta wakiadhirika kutokana na papara, yaani wakishaoneshwa dimba la kati tu basi mtu anakimbilia kupiga mashuti, bila kwanza kumsoma golikipa amekaa upande gani, na kupima uwezo wake kama anaweza kudaka mipira ya juu au ya chini.
Nadhani hicho ndicho Nancy alichokitegemea kutoka kwangu, kwamba baada tu ya mnara kusoma 4G na yeye kuliachia dimba la kati wazi, basi nitavamia uwanjani na kuanza kubutua mpira! Thubutuu, mimi siyo wa hivyo.
Niliendelea kumpasha misuli moto taratibu huku mnara ukiwa unasoma 4g vilevile, nikawa namgusa maeneo ambayo nadhani hakuwa anategemea, akawa anarukaruka mara kwa mara huku akitoa miguno ya hapa na pale iliyozidisha kimuhemuhe cha mahaba, chungu kikawa kinachemka kwa kasi.
Ilifika mahali akawa anataka ashike mwenyewe mwiko na kuupeleka kwenye chungu ili aanze kusonga ugali lakini nikawa namkwepa kijanja, nilifanya hivyo kwa makusudi kwa sababu nilitaka maji yachemke kabisa ili chakula atakachokula kamwe asije kukisahau maishani mwake.
Ni mpaka nilipohakikisha maji yamechemka mpaka nyuzijoto 100 ndipo nilipoanza kuupeleka mwiko taratibu kwenye chungu chake, tayari kwa kazi ya mapishi.
Niliupeleka taratibu kwa makusudi ili kutazama uimara wa chungu chenyewe, lakini akaona kama namchelewesha, aliushika mwenyewe na kuusokomeza kwenye chungu kwa nguvu, akapiga ukelele mwingine kwa raha na bila kupoteza muda, alianza kazi ya kusonga ugali.
Tofauti kabisa na alivyokuwa akionekana kwa nje, Nancy alikuwa mwepesi mno uwanjani, aliifanya kazi ile kwa kasi ambayo vijana huwa wanapenda kuiita ‘spidi 120’, yaani kama nisingekuwa ngangari, huenda angenizidi mahesabu kutokana na kasi yake lakini alikutana na mwamba!
Alikukuruka mpaka mwisho, akaimba nyimbo zote, akaonesha mbwembwe zote lakini bado nilikuwa naye sambamba, pumzi zilipoanza kumuishia, ndipo na mimi nilipoanza kumuonesha makali yangu, nikawa nashambulia kwa mfumo wa four-four-two, ikawa mpira unachezwa kwenye goli lake tu, ilifika mahali akawa anapiga kelele kwa sauti ya juu mpaka nikawa nahisi baba mwenye nyumba anaweza kushtukia kwamba kuna mechi ya kirafiki inapigwa pale ndani.
Nilimpeleka puta kuliko kawaida, hakuchukua raundi, akatangaza kutaka kuzifumania nyavu na ili twende naye sawa, na mimi nilijiweka katika mkao wa kufunga!
Yeye ndiye aliyekuwa wa kwanza, akanifunga bao kwa shuti la mbali na kupiga shangwe za nguvu kushangilia ushindi huku mwili wake ukianza kukakamaa na kutetemeka, na mimi nikahitimisha kwa kumfunga kwa uhodari wa hali ya juu uliofanya alitamke jina langu kwa ufasaha kabisa kisha akadondoka pembeni kama mzigo.
Huwezi kuamini, katika gemu tatu nilizopiga siku hiyo, hiyo ya Nancy ilikuwa ni ya kimataifa kwa sababu tulipoenda mapumziko, wote tulipitiwa na usingizi mzito, kuja kushtuka, tayari ilikuwa ni saa saba za usiku.
“Mungu wangu, nitasema nini nyumbani,” alisema huku akikurupuka na kuanza kutafuta nguo zake, nikaona analeta masihara, ataondokaje muda huo wakati hata kipindi cha pili kilikuwa bado?
ITAENDELEA
No comments